Machapisho

  Tido shop

FAIDA 7 ZA KUOGEA SABUNI YA MCHELE KWA WANAWAKE

Picha
          "Urembo wa Asili ndio Urembo wa Bora Zaidi"

FAIDA KUMI ZA KUTUMIA SABUNI NA VIPODOZI VYA ASILI (NATURAL SOAPS AND COSMETICS)

Picha
    Siri ambayo watu wengi hawaijui Watu wengi siku hizi hujali afya zao kwa kufanya mazoezi pamoja na kuepuka kula vyakula  ambavyo vina kemikali ambazo zinaweza kusababisha madhara ya kiafya kwao. Wengi wetu hutumia umakini mkubwa sana katika  vyakula ambavyo tunavila ili kujiridhisha kuwa vyakula hivyo havina kemikali zenye sumu kama zebaki (mercury) ambazo husababisha madhara ya kiafya kama vile ugonjwa wa saratani.  Kitu ambacho naamini watu wengi hawajagundua ni kwamba ngozi zetu ni moja ya njia kubwa sana kuliko njia nyingine yeyote ambayo inaweza kusababisha kemikali zenye sumu pia zinaweza kuingia katika miili yetu.   " Najua unashagaa kusikia hivyo, lakini ukweli ndio huo. Sasa ngoja nikueleze jinsi gani hii inaweza kutokea".  Tafiti zinaonesha kwamba ngozi inachangia zaidi kuingiza sumu mwilini kuliko hata chakula. Hii ni kutokan na na ukweli kwamba ngozi ndio kiungo kinachochukua sehemu kubwa zaidi ya mwili kuliko viungo vingine vyote....